// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ROONEY AKIFUNGA LEO, ENGLAND INASHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ROONEY AKIFUNGA LEO, ENGLAND INASHINDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 19, 2012

    ROONEY AKIFUNGA LEO, ENGLAND INASHINDA


    V
    UTABIRI LEO


    BETODDS
    1Wayne Rooney akifunga England inashinda4/1
    Mshambuliaji huyo wa Manchester United amerejea uwanjani baada ya kumaliza adhabu yake mechi mbil, na William Hill tayari ameweka dau kwamba atafunga bao la ushindi kwa Three Lions

    2Andriy Shevchenko kufunga mawili zaidi10/1
    Gwiji huyo wa AC Milan alifunga mabao mawili wakati Ukraine ikicheza na Sweden na kushinda mechi hiyo, na nyota huyo wa zamani wa Chelsea atakuwepo leo kufunga mabao mawili zaidi.

    3Danny Welbeck kufunga mwisho7/1
    Danny Welbeck alifunga bao la ushindi kwa England katika mechi iliyopita, anapewa  7/1 kufunga bao la mwisho kwenye mchezo wa leo.

    4Ukraine itashinda 1-010/1
    Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana, Ukraine ilishinda 1-0 katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia. Inapewa nafasi ya kurudia mambo hayo katika mchezo wa leo na William Hill.

    5Timu zote zitafunga 4/5
    Hata kama timu zote hazijafungwa katika mechi zao zilizopita, lakini zote zina nafasi ya kutinga Robo Fainali. Katika kufunga mabao, timu zote zinapewa 4/5 na William Hill.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AKIFUNGA LEO, ENGLAND INASHINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top