• HABARI MPYA

        Thursday, June 28, 2012

        ROONEY AENDA KUTULIZA KICHWA MAREKANI NA MAMA WATOTO

        Mshambuliaji Wayne Rooney anaonekana kama mtu anayehitaji kutuliza kichwa chake, baada ya madongo aliyotupiwa na makocha wa sasa wa England, Roy Hodgson na kocha wa zamani wa timu hiyo pia, inayojulikana kama Three Lions, Fabio Capello kwamba huwa anajituma anapochezea Manchester United tu na si timu ya taifa. Pichani ni Rooney na mkewe, wakielekea Los Angeles, baada ya England kutolewa katika Euro 2012.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ROONEY AENDA KUTULIZA KICHWA MAREKANI NA MAMA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry