MABAO mawili ya Cristiano Ronaldo usiku huu yameipa Ureno tiketi ya kutinga Robo Fainali ya Euro 2012, baada ya kuilaza Uholanzi 2-1.


MSIMAMO WA KUNDI B

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No Movement1Germany339
No Movement2Portugal316
No Movement3Denmark3-13
No Movement4Netherlands3-30