// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); POULSEN ATAJA 11 WANAOANZA LEO, ULIMWENGU NA SAMATTA KUONGOZA MASHAMBULIZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE POULSEN ATAJA 11 WANAOANZA LEO, ULIMWENGU NA SAMATTA KUONGOZA MASHAMBULIZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 17, 2012

    POULSEN ATAJA 11 WANAOANZA LEO, ULIMWENGU NA SAMATTA KUONGOZA MASHAMBULIZI


    Kim Poulsen

    KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulen ametaja kikosi chake kitakachoanza mechi ya leo dhidi ya Msumbiji (The Mambas) itakayochezwa Uwanja wa Taifa ulioko Zimpeto hapa Maputo. Mechi itaanza saa 9 kamili kwa saa za hapa ambapo nyumbani
    Tanzania itakuwa saa 10 kamili.
     
    Stars inaundwa na;1. Juma Kaseja, 20. Shomari Kapombe, 22. Erasto Nyoni, 6. Aggrey Morris, 5. Kevin Yondani, 19. Shaabani Nditi, 8. Mrisho Ngasa, 16. Frank Domayo, 11. Thomas Ulimwengu, 10. Mbwana Samata na 15. Mwinyi Kazimoto.
     
    Wachezaji wa akiba;18. Deogratias Munishi, 17. Amir Maftah, 13. Jonas Mkude, 3. Haruna Moshi, 12. Simon Msuva, 9. Christopher Edward, 14. John Bocco, 7. Ramadhan Singano na 21. Nurdin Bakari.
     
    Benchi la Ufundi;
    Kim Poulsen (Kocha Mkuu), Sylvester Marsh (Kocha Msaidizi), Juma Pondamali (Kocha wa Makipa), Leopold Tasso (Meneja wa Timu), Dk. Juma Mwankemwa (Daktari wa Timu), Dk. Frank Mhonda (Physiotherapist) na Alfred Chimela (Mtunza Vifaa).
     
    Refa: Bennett Daniel (Afrika Kusini)
    Refa Msaidizi 1; Molefe Enock (Afrika Kusini)
    Refa Msaidizi 2; Siwela Zakhele Thusi (Afrika Kusini)
    Refa wa Akiba; Hlungwani Tinyiko Victor (Afrika Kusini)
    Kamishna wa Mechi; Mateus Joel Amdhila (Namibia)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POULSEN ATAJA 11 WANAOANZA LEO, ULIMWENGU NA SAMATTA KUONGOZA MASHAMBULIZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top