// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 24, 2012

    OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA


    Wema Sepetu "Superstar"
                             
    Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao

    Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria
    Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda




    Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu

    Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee

    Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV

    Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo

    Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema
    Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere.
    Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii.

    Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria.

    Omotola akiwa na Miriam Odemba



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top