![]() |
Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Abdallah Juma akijifua katika gym ya Kelken , Chang'ombe, Dar es Salaam asubuhi ya leo. |
![]() |
Kocha wa makipa, James Kisaka naye akijifua |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu'akizungumza na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Abdallah Juma akiendelea na mazoezi |
![]() |
Patrick Mbiyavanga kutoka DRC |
![]() |
Meneja Vifaa vya Michezo wa Simba, Kessy Rajab naye akijifua |
![]() |
Mbiyavanga akijifua |
![]() |
Mbiyavanga |
![]() |
Amri Kiemba akijifua |
![]() |
Salum Machaku naye alikuwepo |
0 comments:
Post a Comment