Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Mwasiti Almasi akihojiwa na mtangazaji wa Clouds Tv, Millard Ayo
Baadhi ya zawadi
Meneja kampeni wa kampuni ya Push Mobile Media, Rugambo Roeney akimkabidhi mtangazaji wa Radio Clouds, Barbara Hassan namba 15555 zitakazotumika wakati wa kutuma ujumbe mfupi kwa ajili ya kushindania magari na pikipiki, wakati wa uzinduzi wa tamasha la fiesta 2012 uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam
Millard Ayo akifanya mahojiano na wadau waliofika katika viwanja vya Leaders kushuhudia uzinduzi wa tamasha la fiesta 2012
Wadau
Millard Ayo
0 comments:
Post a Comment