// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAZOEZI SIMBA YAANZA KUCHANGANYA TCC CHANG'OMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAZOEZI SIMBA YAANZA KUCHANGANYA TCC CHANG'OMBE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 18, 2012

    MAZOEZI SIMBA YAANZA KUCHANGANYA TCC CHANG'OMBE

    Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe Dar es Salaam jioni hii.Wa kwanza kabisa kushoto ni Kiggi Makasy na kulia kabisa ni Salim Kinje, ambao wamekuwa kivutio kwenye mazoezi hayo yanayoongozwa na Kocha wa mazoezi ya viungo, Mganda Hamatre Richard 

    Kocha wa Mazoezi ya Viungo wa Simba, Hamatre Richard (katikati) akiongoza mazoezi ya Simba jioni hii Uwanja wa TCC Chang'ombe, Dar es Salaam. Kulia kabisa ni mpachika mabao mpya wa timu hiyo, Abdallah Juma kutoka Ruvu Shooting.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI SIMBA YAANZA KUCHANGANYA TCC CHANG'OMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top