Asubuhi ya leo, BIN ZUBEIRY ilitembelea kambi ya Azam
FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuwakuta wachezaji wa timu
hiyo, itakayoiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho la Soka Afrika
mwakani wakijifua kwa mazoezi ya kujenga miili chini ya makocha wao,
Waingereza, Stewart Hall na Msaidizi wake, Kalimangonga Sam Daniel Ongala kwenye
gym kali na ya kisasa ya klabu hiyo, iliyopo ndani ya Uwanja wao, Chamazi. Cheki
picha hizo.
|
Kocha Stewart akiinua nondo |
Add caption |
Luckson Kakolaki |
Kipre Tchetche |
Said Mourad |
Gaudence Mwaikimba |
Zahor Pazi |
Odhiambo Blackberry |
Kipre Balou |
Kutoka kushoto, Ibrahim Shikanda, Himid Mao na Ibrahim Mwaipopo |
Kutoka kulia Jabir Aziz, Ramadhan Chombo na ... |
Kali Ongala akimuelekeza Ibrahim Mwaipopo, kushoto ni Mao |
0 comments:
Post a Comment