18/06/2012 09:00, Report by Editorial team
KLABU ya Manchester United itaanzia ugenini na Everton katika msimu ujao wa Ligi Kuu ya England, kutokana na draft ya ratiba ya ligi hiyo iliyovuja.
Mechi hiyo ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Jumamosi ya Agosti 18, lakini inaweza kubadilika kabla ya kutangazwa rasmi.
Please note that the fixture list is subject to change, depending on selections for live television games. The list was last upd
0 comments:
Post a Comment