OMBI la bondia Floyd Mayweather kutaka atolewe jela na kutumikia kifungo chake kutokana na madai ya chakula kisicho na kiwango na maji gerezani, limekataliwa na Jaji wa Mahakama ya Las Vegas, Peace Melissa Saragosa ambaye amesema maji safi salama yapo na kwamba tatizo ni hali vizuri kwa sababu anakataa kula chakula kinachoandaliwa humo.
chini ya ulinzi: Mayweather jela.
Pale kitanda, pembeni choo, kweli jela mbaya popote duniani
0 comments:
Post a Comment