// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MADENT DAR INDEPENDENT NI NOMA, CHEKI MAVITUZ YAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MADENT DAR INDEPENDENT NI NOMA, CHEKI MAVITUZ YAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, June 17, 2012

    MADENT DAR INDEPENDENT NI NOMA, CHEKI MAVITUZ YAO





    01: Michael Kapinga  akionyesha umahiri wa kuonyeshakipaji cha  kuimba
    wimbo wa I tried ulioimbwa na Akon na Bone Thugz, wakati wa hafla ya
    kujipongeza kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam
    Independent iliyo jijini Dar es Salaam,kwa kuhitimu kidato cha Nne na
    cha Sita ,Hafla hiyo iliandaliwa na Saida Kapinga wa Elements Events.
     
    02;Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo
    jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka
    washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu
    ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre
    Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga
    ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
     
    03; Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam
    Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya
    kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya
    kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events
    katika Ukumbi wa Litre Theatle.
     
    04.Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya
    jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliipuka Mshindi wa kuvaa
    vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka
    mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata
    muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha
    Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar
    es Salaam.
     
    05.Michael Kapinga akihojiwa na Mon Rack (kulia) baada ya kuonyesha
    kipajhi cha hali ya juu cha kuimba,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa
    kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya
    Elements Events iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Dar es
    Salaam.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MADENT DAR INDEPENDENT NI NOMA, CHEKI MAVITUZ YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top