Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa Shirikisho la Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
Rais Jakaya Kikwete akipokea mpira toka kwa Rais wa Shirikisho la Basketball (TBF) Bw na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais wa Shirikisho la Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo. (PICHA NA IKULU)
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment