// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA TANZANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA TANZANIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, June 15, 2012

        KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA TANZANIA

        Kiungo chipukizi wa Simba SC, Shomary Kapombe akipokea mfano wa hundi ya Sh Milioni 12, kutoka kwa mgeni rasmi katika sherehe za tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi kulia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam usiku huu. Kapombe pia alishinda tuzo ya Mwanamichezo Bora chipukizi.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry