Zawadi ilikuwa ni kutoka kwa Swahiba wangu Peter
Tulikuwa wa nne ilipogonga saa 6 kamili usiku
Ni siku yangu kubwa sina budi kujidai
"IT'S MY BIRTHDAY"
Ndio New Year kwangu
MUNGU ndio alieamua niwepo tena, namshukuru sana
Me, Ibra and Khadija "GOBOS United"
Mazuri machache ya kuwahusia ni haya:
Msivunjwe mioyo na waliokwisha vunjika mioyo
Maana hawana matumaini na hawatakuwa na busara za kuwashauri.
Msikatishwe tamaa na waliokwisha kata tamaa, maana hawakumbuki nyuma na mbele wanaona giza.
Mawazo na maneno yao yatakuwa ni ya kusitisha safari yako isifikie mafanikio
RESPECT TO MY MAMA "MARTHA MBIBO"
NI zaidi ya mwanamke.
Party itakuwa Nyumbani Lounge karibuni tujumuike
Chuma hakiunguzwi na moto wa Kiberiti
Ila kinapata moto tu
MUCH LOVE
JIDE
0 comments:
Post a Comment