Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo (wa pili kutoka kushoto) akichezesha drooo ya sita ya promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Vizibo na SBL, inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti, iliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo Oysterbay jijini Dar leo. Kulia ni James Ndetiko kutoka PWC na Bakari Magged Kutoka bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa, kushoto ni Tumainieli Malisa kutoka PWC pamoja na Waandshi wa Habari na wadau wengine wakifuatilia kwa ukaribu Droo hiyo.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment