BAO la dakika ya 72 la Mario Mandzukic, liliinusuru Croatia kuzama mbele ya Italia katika mchezo wa Kundi C wa Euro 2012. Pirlo alitangulia kuifungia Italia dakika ya 39