BREAKING NEWS; KELVIN YONDAN ATUA YANGA KWA MILIONI 30
Beki wa Simba, Kelvin Patrick Yondan amesaini Yanga kwa dau la Milioni 30,000 na atakuwa akilipwa mshahara wa Sh 800,00 kwa mwezi. BIN ZUBEIRY imefanikiwa kupata nakala ya fomu ya mkataba wa Yondan aliosaini Yanga. isome hapo chini.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment