Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Butallah akiwasili Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere usiku huu, kutoka mkoani Mwanza alikohudhuria tamasha la Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu mkoani humo. Tamasha limefanyika leo na lilifana. Chini ni msanii Juma Nature akiwasili pia kutoka kwenye tamasha hilo, ambako alifanya vitu baab kubwa. TBL pia ni wadhamini wa klabu za Simba, Yanga na timu ya taifa, Taifa Stars kupitia Kilimanjaro Beer. |
0 comments:
Post a Comment