1.
Meneja wa Bia ya Serengeti Lager, Allan Chonjo
(katikati) akizumgumza na Waandishi wa Habari wakati wa kutangaza washindi wa
Bajaji, Pikipiki, Jenereta mbili katika droo ya saba ya promsheni ya VUMBUA
HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL, inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
nchini ambapo kwa mara ya tatu sasa mshindi wa Bajaji anapatikana Mwanza na
kufikisha idadi ya Bajaj tatu mkoani humo, huku Bajaji moja ikienda Mafinga
mkoani Iringa. Kushoto ni wakaguzi kutoka Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa,
Amanieli Maliki kulia.
2.
Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo
(katikati) akiongea na mmoja wa washindi wa droo ya saba ya promosheni
inyayoendeshwa nakampuni ya Bia ya Serengeti, VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO NA
SBL, kulia ni mwakilishi wa PWC, Cheryl Vroom na kushoto ni Wakaguzi kutoka Bodi
ya Taifa ya Bahati Nasibu.
3.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo
(katikati) pamoja na Wakaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Bahati Nasibu na
mwakilishi wa PWC, Cheryl Vroom kulia wakishuhudia droo hiyo ikichezeshwa ili
kupata washindi kihalali.
0 comments:
Post a Comment