Mkurugenzi wa African Stars Entertainment (ASET), akitambulisha safu mpya ya uongozi wa bendi. Muddy Pizzaro anakuwa Msemaji wa bendi, Muddy K anakuwa Meneja Matukio, Omary Baraka anaendelea kuwa |Mkurugwenzi Mtendaji, Amigolas anakuwa Meneja wa Bendi, Luiza Mbutu anaendelea kuwa kiongozi wa bendi, akisaidiwa na Saleh Kupaza,James Kibosho anaendelea kiongozi wa jukwaa. Kiongozi wa wanenguaji anaendelea kuwa Asha Sharapova kwa wanawake na kwa wanaume anaendelea kuwa Sidy Boy. Shughuli hii imefanyika katika ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, asubuhi hii.
|
0 comments:
Post a Comment