
Itamar alikuwa Msaidizi wea Marcio Maximo katika kikosi cha Taifa Stars kabla ya kuacha kazi na kurejea kwao.
itamar, ambaye baada ya kuachana na Stars alirejea nchini kufundisha Azam FC, yupo kwenye orodha ya makocha wanaowania kurithi mikoba ya Mserbia, Kostadin Bozidar Papic Yanga.
IKatibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa ameaiambia BIN ZUBEIRY leo mchana kwamba makocha wengine walioomba kazi Jangwani ni raia wa Ureno, England, Uhoianzi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ufaransa, Afrika Kusini na Australia.
0 comments:
Post a Comment