// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA WAMPONZA KIIZA, ATEMWA THE CRANES, OKWI NDANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA WAMPONZA KIIZA, ATEMWA THE CRANES, OKWI NDANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Wednesday, May 16, 2012

    YANGA WAMPONZA KIIZA, ATEMWA THE CRANES, OKWI NDANI



    KUFULIA kwa Yanga sasa kunaanza kumgharimu hata mshambuliaji wake, Mwanasoka Bora wa Uganda, Hamisi Kiiza.
    Kocha wa The Cranes, Bobby Williamson leo ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 30 kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Angola na Senegal kuwania Fainali za Kombe la Dunai mwaka 2014, huku akimoiga chini mchezaji huyo matata.
    The Cranes itakwenda Luanda, Angola Juni 3, mwaka huu kucheza na wenyeji kabla ya kumenyana na Senegal mjini Kampala, Juni 9. Liberia ni timu nyingine kwemnye kundi lao.
    Kikosi kamili cha Cranes ni; Makipas: Denis Onyango (Sundowns, SA), Posnet Omwony (Leopards, SA), Abel Dhaira (IBV, Iceland), Hamza Muwonge (Bunnamwaya),
    Mabeki: Simeon Masaba (URA), Denis Guma (Victoria University), Isaac Isinde (St George, Ethiopia), Henry Kalungi (Richmond Kickers, USA), Godfrey Walusimbi (Bunnamwaya), Hassan Wasswa (Kayseri, Turkey), Joseph Ochaya (KCC), Andy Mwesigwa (Ordabasy, Kazakhstan), Habib Kavuma (APR, Rwanda), Edward Ssali (Bunnamwaya), Joseph Owino (Azam, TZ)
    Viungo: Mike Sserumaga (St George, Ethiopia), Tonny Mawejje (IBV, Iceland), Musa Mudde (Sofapaka, Kenya), Patrick Ochan (TP Mazembe, DRC), Martin Mutumba (AIK, Sweden), Dan Wagaluka(APR, Rwanda), Moses Oloya (Sai Go, Vietnam), Sula Matovu (St George, Ethiopia), Mike Mutyaba (El Merreikh, Sudan)
    Washambuliaji: Brian Umony (Becamex Binh Doung, Vietnam), Emma Okwi (Simba, TZ), Caesar Okhuti (Bunnamwaya), Robert Ssentongo (URA), Geoffrey Massa (Yenicami, N. Cyprus), Fabian Kizito (Leonidas, Netherlands)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WAMPONZA KIIZA, ATEMWA THE CRANES, OKWI NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry