// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WASIFU WA ROY HODGSON, KOCHA MPYA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WASIFU WA ROY HODGSON, KOCHA MPYA ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, May 02, 2012

    WASIFU WA ROY HODGSON, KOCHA MPYA ENGLAND


    Roy Hodgson ni mume wa Sheila, ambaye wamezaa naye watoto wawili wa kiume, Christopher na Michael. Anafahamika kama shabiki wa bendi ya muziki wa Rock, The Rolling Stones. Hodgson, ambaye japo ni raia wa England, anaweza kuzungumza kwa ufasaha ki- Norway, Kiswede, Kijerumani na Kitaliano sambamba na ki-Danish, Kifaransa na ki-Finnish.
    HappyHodgson.JPG
    WASIFU WAKE
    JINA KAMILIRoy Hodgson
    KUZALIWA9 August 1947 (age 64)
    ALIPOZALIWACroydon, England
    NAFASI ALIYOCHEZABeki
    ANAPOFUNDISHA KWA SASA
    KLABUWest Bromwich Albion 
    TIMU ZA VIJANA ALIZOCHEZEA
    1963–1965Crystal Palace
    TIMU ZA WAKUBWA ALIZOCHEZEA
    MUDATIMUMECHIMABAO
    1965–1966Crystal Palace0(0)
    1966–1969Tonbridge Angels
    1969–1971Gravesend & Northfleet59(1)
    1971–1972Maidstone United
    1972–1973Ashford Town
    1973–1974Berea Park
    1974–1976Carshalton Athletic
    TIMU ALIZOFUNDISHA
    1976–1980Halmstad
    1982Bristol City
    1982Oddevold
    1983–1984Örebro
    1985–1989Malmö FF
    1990–1992Neuchâtel Xamax
    1992–1995Switzerland
    1995–1997Internazionale
    1997–1998Blackburn Rovers
    1999Internazionale
    1999–2000Grasshopper
    2000–2001Copenhagen
    2001Udinese
    2002–2004United Arab Emirates
    2004–2005Viking
    2006–2007Finland
    2007–2010Fulham
    2010–2011Liverpool
    2011–West Bromwich Albion
    2012–England


    KK
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WASIFU WA ROY HODGSON, KOCHA MPYA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top