// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, May 31, 2012

    VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO

    PSG iko tayari kumng'oa Rooney Man United kwa Euro Milioni 150
    Man City iko tayari kumng'aoa Van Persie Arsenal kwa dau la pauni milioni 50

    JORDI ALBA | Valencia & Hispania, Beki, Miaka 23

    Read more on Alba
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi50
    Mabao3
    Pasi za mabao7
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 8
    Klabu zinazomtakaBarcelona
    Uwezekano wa kuondokaAsilimia 70
    ANDREY ARSHAVIN | Arsenal & Urusi, Mshambuliaji, Miaka 31

    Read more on Arshavin
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi37
    Mabao5
    Pasi za mabao3
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 9
    KLABU ZINAZOMTAKAZenit St Petersburg
    Uwezekano kuondokaAsilimia 75
    THEO GEBRE SELASSIE | Slovan Liberec & Jamhuri ya Czech, Beki, Miaka 25

    Read more on Gebre Selassie
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi30
    Mabao5
    Pasi za mabao6
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 1.2
    KLABU ZINAZOMTAKA-
    Uwezekano kuondokaAsilimia 75
    SEBASTIAN GIOVINCO | Parma & Italia, Mshambuliaji, Miaka 25

    Read more on Giovinco
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi37
    Mabao17
    Pasi za mabao13
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 10
    KLABU ZINAZOMTAKAJuventus, Inter
    Uwezekano kuondokaAsilimia 70
    BENEDIKT HOWEDES | Schalke & Ujerumani, Beki, Miaka 24

    Read more on Howedes
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi32
    Mabao1
    Pasi za mabao2
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 12
    KLABU ZINAZOMTAKABayern Munich
    Uwezekano kuondokaAsilimia 35
    ROBERT LEWANDOWSKI | Dortmund & Poland, Mshambuliaji, Miaka 23

    Read more on Lewandowski
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi46
    Mabao30
    Pasi za mabao11
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 12
    KLABU ZINAZOMTAKAMan Utd
    Uwezekano kuondokaAsilimia 5
    JAVI MARTINEZ | Athletic Bilbao & Hispania, kiungo, Miaka 23

    Read more on Martinez
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi55
    Mabao4
    Pasi za mabao1
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yake(Pauni Milioni 32)
    KLABU ZINAZOMTAKAReal Madrid, Bayern, Man City, Man Utd
    Uwezekano kuondokaAsilimia 40
    YANN M'VILA | Rennes & Ufaransa, kiungo, Miaka 21

    Read more on M'Vila
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi45
    Mabao1
    Pasi za mabao2
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 16
    KLABU ZINAZOMTAKAArsenal
    Uwezekano kuondokaAsilimia 95
    ROLANDO | Porto & Ureno, beki, miaka 26

    Read more on Rolando
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi33
    Mabao1
    Pasi za mabao0
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yake(Pauni Milioni 24)
    KLABU ZINAZOMTAKARoma
    Uwezekano kuondokaAsilimia 35
    KEVIN STROOTMAN | PSV & Uholanzi, kiungo, miaka 22

    Read more on Strootman
    SEASON STATS
    Appearances45
    Goals6
    Assists11
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 6.5
    KLABU ZINAZOMTAKAMilan, Man Utd, Inter
    Uwezekano kuondokaAsilimia 40
    OLA TOIVONEN | PSV & Sweden, kiungo, miaka 25

    Read more on Toivonen
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi47
    Mabao25
    Pasi za mabao2
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 6.5
    KLABU ZINAZOMTAKA-
    Uwezekano kuondokaAsilimia 70
    GREGORY VAN DER WIEL | Ajax & Uholanzi, beki, miaka 24

    Read more on Van der Wiel
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi25
    Mabao3
    Pasi za mabao4
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 8
    KLABU ZINAZOMTAKAValencia, Real Madrid
    Uwezekano kuondokaAsilimia 70
    ANDRIY VORONIN | Dinamo Moscow & Ukraine, mshambuliaji, miaka 32

    Read more on Voronin
    TAKWIMU ZA MSIMU
    Mechi34
    Mabao11
    Pasi za mabao0
    HABARI ZA UHAMISHO
    Thamani yakePauni Milioni 4
    KLABU ZINAZOMTAKA-
    Uwezekano kuondokaAsilimia 75

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top