Barca kwisha!
KLABU ya Real Madrid rasmi imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania msimu huu na kuivua taji hilo Barcelona, kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao usiku huu.
Ushindi huo ni faraja kwa kocha Jose Mourinho, ambaye sasa ameweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ulaya katika nchi nne tofauti, Ureno, England, Italia na Hispania.
Taji hilo linawafuta machozi Real, waliotolewa na Bayern Munich katika Nusu Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya wsiki iliyopita.
Hilo linakuwa taji la 32 la La Liga kwa Real na la kwanza ndani ya miaka minne.
Uwanja wa San Mamés — Bilbao
Refa: José Antonio Teixeira Vitienes
Refa: José Antonio Teixeira Vitienes
0 comments:
Post a Comment