KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho amemtumia salam za kumtakia heri, kocha wa Barcelona, Pep Guardiola baada ya kusema atastaafu mwishoni mwa msimu.
"Nimekuwa kocha kwa miaka 12, na mimi mustakabali wangu utajulikana Juni, wakati kutakuwa hakuna mechi wala vipindi vya mazoezi. Lakini kila mmoja ni tofauri, na unatakiwa kukubali. Natumai Guardiola atafurahia wakati wake nje kazi na namtumia salamu nzito na za heri,"alisema Mourinho.
Guardiola alitangaza Ijumaa atahitimisha miaka yake minne ya kupiga kazi Barca mwishoni mwa msimu baada ya timu kukosa ubingwa wa Ulaya na La Liga, huku msaidizi wake d mental stress with his assistant, Tito Vilanova, set to replace him

0 comments:
Post a Comment