Lionel Messi kwa mara nyingine tena amefunga mabao matatu peke yake, Barcelona ikishinda 4-1 dhidi ya Malaga Uwanja wa Camp Nou usiku huu.
Carles Puyol alifunga bao la kwanza kabla ya Messi kufunga mfululizo.
Carles Puyol alifunga bao la kwanza kabla ya Messi kufunga mfululizo.
Messi sasa ametimiza mabao 68 katika mashindano yote msimu huu na kuvunja rekodi ya Mjerumani Gerd Muller ya kufunga mabao mengi msimu mmoja katika Ligi kubwa Ulaya.
0 comments:
Post a Comment