KLABU ya Juventus ya Italia imeamua kujiunga kwenye mbio za kuwania saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Salomon Kalou.
Tayari Kalou ameripotiwa kuzivutia klabu nyingi wapinzani wa Chelsea katika Ligi Kuu England, zikiwemo Arsenal, Tottenham Hotspur na Liverpool zote inaelezwa ziko tayari kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa uhamisho wa bure.
Kalou amepewa ofa na vigogo wa Italia, Juventus. Wakati wa wachezaji anayetambuliwa na FIFA amekuwa kwenye mawasiliano ya simu na Bianconeri kuwataka Kibibi Kizee cha Turin kumsajili mchezaji huyo.

0 comments:
Post a Comment