// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FERGUSON AMUWEKA KITAKO KAGAWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FERGUSON AMUWEKA KITAKO KAGAWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, May 16, 2012

    FERGUSON AMUWEKA KITAKO KAGAWA


    Shinji Kagawa with German Cup after Borussia Dortmund's double win
    Shinji Kagawa akiwa na Kombe la Ujerumani ambalo ni kati ya mataji mawili ambayo Dortmund imetwaa msimu huu, lingine Bundesliga.
    Published: Today at 11:12

    MCHEZAJI anayewindwa na MANCHESTER UNITED, Shinji Kagawa amesema kwamba amekutana na Alex Ferguson na angependa kucheza England.

    Nyota huyo wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 23, anatarajia kuwaacha mabingwa hao wa Ujerumani msimu huu.
    Lakini amesema bado hajaamua mustakabali wake licha ya kukutana na kocha wa United, Fergie.
    Kagawa slisema: "Ilikuwa vizuri kukutana naq kuzungumza naye. Alikuwa ana mambo mazuri ya kuniambia.
    "Lakiniu bado sijaamua. Nimekuwa kwenye mawasiliano na klabu kadhaa na siwezi kusema ipi ni nzuri kwangu.
    "Nataka kwenda timu ambayo itakuwa changamoto kwangu. itakuwa babu kubwa nitamalizia soka yangu Ligi Kuu England."
    Kagawa alikuwa chachu ya mafanikio ya Dortmund kuibuka na kutawala soka ya Ujerumani hivi karibuni.
    Alijiunga na klabu hiyo, akitokea timu ya Daraja la Pili Japan, Cerezo Osaka mwaka 2010 kwa dau lisilofika pauni 300,000.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FERGUSON AMUWEKA KITAKO KAGAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top