Mwenyekiti wa Simba Aden rage akihojiwa na Waandishi baada ya kufika Algeria |
KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imefika salana Algeria jioni
hii na kuelekea katika mji wa Setif tayari kwa mechi dhidi ya wenyeji ES Setif,
Ijumaa.
Simba ikiwa na hazina ya mabao 2-0 itaingia kwenye mchezo wa
marudiano wa Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho ikihitaji sare ya ugenini au
kufungwa si zaidi ya 1-0 isonge mbele. Simba iliyoondoka Dar es Salaam Alfajiri ya Jumatatu, ililala Cairo Misri kabla ya kuelekea Algeria.
0 comments:
Post a Comment