KOCHA wa West Brom, Roy Hodgson amepewa ruhusa na klabu yake kufanya mazungumzo na Chama cha Soka England, FA kuhusu kuchukua nafasi ya ukocha wa timu ya taifa ya England iliyo wazi.
Mwenyekiti wa FA, David Bernstein amesema katika taarifa yake kwenye tovuti ya bodi hiyo ya soka, kwamba mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 64 ndiye pekee ambaye hadi sasa ameombwa kufanya kazi hiyo.
Hodgson kwa sasa anapiga mzigo Hawthorns na anaelekea kusaini mkataba mwishoni mwa msimu.

0 comments:
Post a Comment