Simba SC |
LIGI YA MABINGWA AFRIKA:
MWAKA 1974:
RAUNDI YA KWANZA:
Linare (Lesotho) Vs Simba
(Tanzania) l-3: l-2
RAUNDI YA PILI:
Zambia Army(Zambia) Vs Simba
(Tanzania) l-2:0-l
ROBO FAINALI:
Hearts Of Oak Vs Simba l-2:0-0
NUSU FAINALI:
Simba Vs Mehallal 1-0: 0-1
(Mehalla ilishinda kwa penalti
3-0, ingawa kuna habari za kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu)
kufanyiwa fujo, wakati wa upigwaji wa penalti.
MWAKA 1977:
RAUNDI YA KWANZA:
Simba (Tanzania) Vs Highlanders
(Swaziland)
Highlanders ilijiotoa, Simba
ikasonga mbele.
RAUNDI YA PILI:
Water Corp. (Nigeria) Vs Simba
0-0: l-0
MWAKA 1978:
RAUNDI YA KWANZA:
Simba (Tanzania) Vs Vautour
(Gabon) 2-0: 0-1
RAUNDI YA PILI:
Vita (Zaire) Vs Simba (Tanzania)
1-0: 1-0
MWAKA 1979:
RAUNDI YA KWANZA:
Simba Vs Mufulira Wanderers
(Zambia) 0-4: 5-0
RAUNDI YA PILI:
Simba Vs Racca Rovers (Nigeria)
0-0: 0-2
MWAKA 1980:
RAUNDI YA KWANZA:
Linare (Lesotho) Vs Simba
(Tanzania) 2-l : 0-3
RAUNDI YA PILI:
Simba Vs U. Douala 2-4 : 0-1
MWAKA 1981:
RAUNDI YA KWANZA:
Simba Vs Horsed (Somalia)
Horsed ilijitoa, Simba ikasonga
mbele.
RAUNDI YA PILI:
Simba ilitolewa na JET ya
Algeria.
MWAKA 1994:
RAUNDI YA AWALI:
Simba ilifuzu moja kwa moja
Raundi ya Kwanza
RAUNDI YA KWANZA:
El Merreikh (Sudan) Vs Simba 0-1
Simba (Dsm) Vs /El Merreikh 1-0
RAUNDI YA PILI:
Simba (Dsm) Vs B.T.M 1-0
B.T.M (Madagascar) Vs Simba 0-0
RAUNDI YA TATU:
Kitwe Nkana FC (ZAM)/Simba 4-1
Simba (Dsm) Vs Nkana FC 2-0
MWAKA 1995:
RAUNDI YA AWALI:
Simba lifuzu moja kwa moja
Raundi ya Kwanza
RAUNDI YA KWANZA:
Power Dynamos (Zambia) Vs Simba
1-1
Simba (Dsm) Vs Power Dynamos 1-1
(Simba ilifuzu kwa penalti 4-3)
RAUNDI YA PILI:
ASEC Mimosas (Ivory Coast) Vs
Simba 2-1
Simba (Dsm) Vs ASEC Mimosas 1-2
MWAKA 2002:
RAUNDI YA AWALI:
Feb. 2/2002:
Red Star (Shelisheli) Vs
Simba 0-1
Feb. 16/2002:
Simba Vs Red Star 3-0
RAUNDI YA KWANZA:
Machi 10/2002:
FC Kitwe (Zambia) Vs Simba 4-0
Machi 22/2002:
Simba Vs Nkana FC 3-0
MWAKA 2003:
RAUNDI YA AWALI:
Simba SC (Dsm) Vs BDF XI 1-0
BDF XI (Botswana) Vs Simba SC
1-3
RAUNDI YA KWANZA:
Santos (Afr. Kusini) Vs Simba
0-0
Simba (Dsm) Vs Santos 0-0
(Simba ilifuzu kwa penalti 9-8)
RAUNDI YA PILI:
Simba (Dsm) Vs Zamalek 1-0
Zamalek (Misri) Vs Simba 1-0
(Simba ilifuzu kwa penaliti 3-2)
MECHI ZA KUNDI A:
Agosti 10/2003: Enyimba
(Nigeria) Vs Simba 3-0
Agosti 24/ 2003: Simba Vs
ASEC 1-0
Sept. 7/2003: Simba Vs Ismaili 0-0
Sept. 19/2003: Ismaili (Msri) Vs Simba 2-1
Okt. 5/2003: Simba Vs Enyimba 2-1
Okt.19/2003: ASEC (Ivory Coast) Vs Simba 4-3
MWAKA 2004:
RAUNDI YA AWALI:
Machi 7/2004: Simba (Dsm) Vs
Zanaco 1-0
Machi 21/2004: Zanaco (Zambia)
Vs Simba Lusaka 3-1
MWAKA 2005:
RAUNDI YA AWALI:
Jan. 30/2005: Simba SC (Dsm)
Ferroviario 2-1
Feb.13/2005: Ferroviario Nampula
(Msumbiji) Vs Simba 1-1
RAUNDI YA KWANZA:
Machi 6/ 2005: Simba (Dsm) Vs
Enyimba 1-1
Machi 20/2005: Enyimba (Nigeria)
Vs Simba 4-0
MWAKA 2008:
Simba Vs Awassa City
(Ethiopia) 3-0
Awassa City Vs Simba (Ethiopia) 1-1
Enyimba FC (Nigeria) Vs Simba
4-0
Simba SC Vs Enyimba FC (Nigeria)
3-1
MWAKA 2011:
RAUNDI YA KWANZA
Elan Mitsoudje (Comoro) 0-0
Simba SC
Simba SC 4-2 Elan Mitsoudjé
RAUNDI YA PILI
TP Mazembe (DRC) 3-1 Simba
Simba 2-3 TP Mazembe
(Hata hivyo, TP Mazembe ilienguliwa
kwa kosa la kumtumia mchezaji asiye halali na Simba ikasonga mbele kucheza
mechi maalum ya na Wydad Casablanca ya Morocco iliyokuwa imetolewa na Mazembe
katika Raundi ya Tatu. Wydad ilishinda 3-0.
KOMBE LA WASHINDI
MWAKA 1985
Simba SC Vs Shoe Factory
(Ethiopia) 5-0 0-1
Simba SC Vs Al Ahly (Misri) 2-1
0-2
MWAKA 1996
RAUNDI YA KWANZA
Chapungu (Zimbabwe) Vs Simba 0-1
(Chapungu haikuja Dar kurudiana na Simba)
RAUNDI YA PILI
Simba Vs Al Mokaoulun (Misri)
3-1 0-2 3-3 (Al Mokaoulun walifuzu kwa faida ya bao la ugenini)
MWAKA 2001
RAUNDI YA KWANZA
FC Djivan (Madagascar) Vs Simba
SC (Simba ilifuzu bila jasho baada ya wapinzani kujitoa)
RAUNDI YA PILI
Ismailia (Misri) Vs Simba SC
2-0, 0-1, 2-1
(Mechi ya marudiano ilichezwa mara mbili,
baada ya mechi ya kwanza kuvunjika dakika ya 46, SImba ikiwa inaongoza mabao
2-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam(sasa Uhuru). Ismailia walilalamikia hali ya
Uwanja kujaa maji kwamba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku hiyo, hivyo
kugoma kucheza katika mazingira yale na mchezo ukasogezwa mbele kwa siku moja
na ndipo wenyeji waliposhinda 1-0. Hivyo Simba kwa kufungwa 2-0 awali mjini
Cairo, walijikuta wakitolewa kwa matokeo ya jumla ya kufungwa 2-1.
Mchezo wa kwanza ulitawaliwa na
vurugu, Polisi walivamia uwanjani kuwatawanya wachezaji wa Ismailia kwa mabomu
ya machozi, waliokuwa wakimzonga refa kwa madai mashabiki wa Simba walimpiga na
chupa mchezaji mwenzao mmoja, Emad El-Nahhas.
KOMBE LA CAF/SHIRIKISHO:
MWAKA 1993
RAUNDI YA KWANZA
Simba SC Vs Ferroviario
(Msumbiji) 0-0 1-1 *1-1
RAUNDI YA PILI:
Simba Vs Manzini Wanderers
(Swaziland) 1-0 1-0 2-0
ROBO FAINALI:
Simba Vs USM El Harrach
(Algeria) 3-0 0-2 3-2
NUSU FAINALI:
Simba Vs AS Aviacao (Angola) 3-1
0-0 3-1
FAINALI:
Stella (Ivory Coast) Vs Simba
0-0 2-0 2-0
(Mechi ya kwanza ilichezwa
Novemba 12 mjini Abidjan na marudiano, Kombe uwanjani ikawa mjini Dar es
Salaam, Novemba 26 mwaka huo).
MWAKA 1997:
RAUNDI YA KWANZA
Simba Vs AFC Leopards (Kenya)
1-1 0-3 1-4
MWAKA 2007
RAUNDI YA AWALI:
Textil de Pungue (Msumbiji) Vs
Simba (Dar es Salaam) 1-1 1-1 2-2 (Simba ilitolewa kwa penalti 3-1)
(Mechi ya kwanza ilichezwa
Januari 28 na marudiano yalikuwa Februari 11, akitoka kuangalia mechi hiyo,
mshambuliaji wa zamani wa Simba, Said Nassor Mwamba 'Kizota' aligongwa na gari
kwenye kituo cha mafuta, eneo la Veterinary,Temeke mjini Dar es Salaam na
kufariki dunia baada ya kufikishwa hospitali ya Temeke).
MWAKA 2010:
RAUNDI YA KWANZA
Machi 19: Lengthens FC
(Zimbabwe) Vs Simba 0-3
Aprili 4: Simba SC Vs Lengthens 2-1
RAUNDI YA PILI:
Aprili 25: Simba Vs Haras El
Hodoud 2-1
Mei 8: Haras El Hodood Vs Simba SC 5 - 1
MWAKA 2011:
Juni 12, 2011:
Simba 1-0 DC Motema Pembe (DRC)
Juni 19, 2011:
DC Motema Pembe 2-0 Simba
(Simba iliangukia kwenye mchujo
wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya kutolewa na
Waydad katika Ligi ya Mabingwa).
MWAKA 2012
Machi 25, 2012: Simba SC 2-0 ES Setif
Aprili 6, 2012;
ES Setif 3-1 Simba SC
(Simba imefuzu kwa faida ya bao la ugenini)
(Na Mahmoud Zubeiry)
0 comments:
Post a Comment