NYOTA wa lililokuwa kundi la Spice Girl, Mel B amesema
anataka kubadili uraia na kuwa Muastralia. Muingereza Mel, mwenye umri wa miaka 36, hivi karibuni
amekuwa akifanya kazi zake katika Majiji ya London, LA na Sydney. Ni maarufu Australia akiwa amewahi kuwa jaji wa shindano la
X Factor na hivi karibuni atashiriki katika mchezo wa Dancing With The Stars. Mke huyo wa mtu na mama wa watoto watatu alisema: "Ningependa
kuwa raia wa Australia." Mtoto wake mkubwa Phoenix mwenye umri wa mikaka
13, anasoma Sydney. Mel alisema: "Nimefungua duka hapa. Tuna furaha na
tumejipanga,”.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment