KLABU ya Manchester City imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England na kurejesha pia matumaini ya ubingwa, baada ya kuilaza Manchester United bao 1-0, bao pekee la beki Vincent Kompany kwa kichwa dakika ya 45 kwenye Uwanja wa Etihad usiku huu.
Kompany alipaa hewani kujitiwisha mpira wa kona uliochongwa na David Silva mwishoni mwa kipindi cha kwanza ambacho ilishuhudiwa United wakicheza mchezo wa kujihami zaidi.
United walicharuka zaidi kipindi cha pili, lakini City walisimama imara kulinda bao lao.
City sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya mabao sita dhidi ya United wanayolingana nayo pointi 83 kwa 83, kila timu ikiwa imebakiza mechi mbili kumaliza ligi.


VIKOSI, KADI (5) & WALIOINGIA (6)

Manchester City

  • 25 Hart
  • 04 Kompany Booked
  • 05 Zabaleta
  • 06 Lescott
  • 22 Clichy
  • 18 Barry
  • 19 Nasri (Milner - 90' )
  • 21 Silva (Richards - 82' )
  • 42 Y Toure Booked
  • 16 Aguero
  • 32 Tevez (De Jong - 68' Booked )

BENCHI

  • 30 Pantilimon
  • 02 Richards
  • 13 Kolarov
  • 07 Milner
  • 34 De Jong
  • 10 Dzeko
  • 45 Balotelli

Manchester United

  • 01 De Gea
  • 03 Evra
  • 04 Jones Booked
  • 05 Ferdinand
  • 12 Smalling
  • 11 Giggs
  • 13 Park Ji-sung (Welbeck - 58' )
  • 16 Carrick Booked
  • 17 Nani (Young - 83' )
  • 22 Scholes (Valencia - 78' )
  • 10 Rooney

BENCHI

  • 40 Amos
  • 21 Rafael
  • 18 Young
  • 25 Valencia
  • 09 Berbatov
  • 14 Hernandez
  • 19 Welbeck
Refa: Marriner
Idadi ya watu: 47,259

TAKWIMU ZA MECHI

Possession48%52%dk90Manchester CityManchester United

Shots

123

On target

51

Corners

88

Fouls

1113

 

MSIMAMO WA LIGI ULIVYO SASA
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No Movement1Man City366183
No Movement2Man Utd365383
No Movement3Arsenal362466
No Movement4Tottenham352062
No Movement5Newcastle35762
No Movement6Chelsea352361
No Movement7Everton35851
No Movement8Liverpool35649
No Movement9Fulham35-346
No Movement10West Brom36-646
No Movement11Sunderland36145
No Movement12Swansea36-644
No Movement13Norwich36-1643
No Movement14Stoke35-1643
No Movement15Aston Villa36-1437
No Movement16Wigan36-2237
No Movement17QPR36-2334
No Movement18Bolton35-2834
No Movement19Blackburn36-2831
No Movement20Wolves36-4124