UINGEREZA itafungua dimba na New Zealand katika michezo ya Olimpiki kwenye soka kwa wanawake Uwanja wa Millennium Julai 25, mwaka huu.
Wapo kwenye kundi lenye timu za Cameroon na Brazil pia.
Kwa wanaume, Uingereza itacheza na Senegal katika mchezo wa kwanza, Uwanja wa Old Trafford, Julai 26.
Timu ya Stuart Pearce itamenyana na Falme za Kiarabu (UAE) Julai 29 na baadaye Uruguay Agosti 1 katika hatua ya makundi kwenye soka michezo ya Olimpiki kwa wanaume.
MAKUNDI YA WANAUME:
KUNDI A: Great Britain, Senegal, United Arab Emirates, Uruguay
KUNDI B: Mexico, South Korea, Gabon, Switzerland
KUNDI C: Brazil, Egypt, Belarus, New Zealand
KUNDI D: Spain, Japan, Honduras, Morocco
MAKUNDI YA WANAWAKE:
KUNDI E: Great Britain, New Zealand, Cameroon, Brazil
KUNDI F: Japan, Canada, Sweden, South Africa
KUNDI G: USA, France, Colombia, Korea DP
R
R
0 comments:
Post a Comment