// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KOMANDOO AMPA CHEKA MAZOEZI YA 'KUUA MTU' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KOMANDOO AMPA CHEKA MAZOEZI YA 'KUUA MTU' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, April 25, 2012

    KOMANDOO AMPA CHEKA MAZOEZI YA 'KUUA MTU'

    Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka Dar es salaam jana Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOMANDOO AMPA CHEKA MAZOEZI YA 'KUUA MTU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top