Click tovuti ya Inter kulia uone picha za huyo bibi |
JANA kulikuwa kuna bonge la sherehe la Bibi Maria Radaeli kutimiza
miaka 113, huyo ndiye mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi Italia (na wa pili kwa
Ulaya), ambaye daima amekuwa shabiki wa Nerazzurri.
Bedy Moratti na Ernesto Paolillo walihudhuria sherehe hiyo
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Town Hall.bongostaz inamtakia maisha mema bibi huyo mpenzi wa soka na shabiki la Inter, timu ya zamani ya mwanasoka bora wa dunia, Donaldo Lima. Happy birthday Bibi Maria.
0 comments:
Post a Comment