MCHEZA kikapu wa Tanzania anayechezea timu ya Houston Rockets ya nchini Marekani, Hasheem Thabeet ametajwa katika orodha ya wachezaji wanaolipwa zaidi barani Afrika. Thabeet katika orodha hiyo anashika nafasi ya 10 akiwa anapata mshahara wa jumla ya Euro 3,960 000 kwa mwaka huku Samuel Eto'o anayechezea klabu ya Anzhi Makhachkala ya Russia akishika nafasi ya kwanza kwa kupata Euro 20,000,000 kwa mwaka. Mchezaji wa Kenya MacDonald Mariga anayecheza nchini Italia yeye anashika nafasi ya 19 akiwa anapata Euro 1,004,000. Pia yupo mchezaji soka wa Burundi, Saidi Ntibazinkiza anayechezea klabu ya Cracovie ya nchini Poland ambaye analipwa kiasi cha Euro 243, 000. Orodha kamili ni kama ifuatavyo: GAZETI LA MWANASPOTI: |
'Why are your eyebrows like that?' - Toone & Turner react to their funniest
moments
-
Manchester United's Ella Toone and Millie Turner look back on some of their
best moments together. Available to UK users only.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment