KOCHA Sir Alex Ferguson amemtetea Federico Macheda kwamba
ataibuka tena katika kipindi cha kucheza kwake kwa mkopo na kurejea kufanya
vitu Manchester United. Mshambuliaji huyo Italia hakuwa na furaha akiichezea
Sampdoria msimu uliopita na alipotua QPR, baada ya kuondoka kwa kocha Neil
Warnock na Mark Hughes kuchukua nafasi, alisajili wachezaji wenye majina
makubwa kama Djibril Cisse na Bobby Zamora Januari. Hiyo ilitokana na matatizo ya kifundo cha mguu yaliyomuandama
Macheda na kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza Loftus Road hadi akarejea Manchester
wiki iliyopita kwa matibabu. Bado kocha Ferguson ana matumaini na kijana huyo mwenye umri
wa miaka 20 na anaamini jinamizi la majeruhi linalomuandama hivi sasa litafika
mwisho na ataanza kung’ara tena.
Hat-trick hero McAtee can play better - Guardiola
-
Manchester City manager Pep Guardiola called midfielder James McAtee
'special', but insists he could still play better despite scoring a
hat-trick in an 8-...
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment