Stramaccioni na Milito |
KOCHA mpya wa Inter Milan, Andrea Stramaccioni amewapa
wachezaji wake mapumziko ya siku moja kufuatia ushindi wa 5-4 dhidi ya Genoa katika
Serie A jioni ya jana.
Kwa mujibu wa tovuti ya Inter, awamu ya kwanza ya kwanza ya
mazoezi ya wiki hii itakuwa kesho mchana kujiandaa na mechi ya ugenini dhidi ya
Cagliari v Inter, Aprili 7 kwenye Uwanja wa Sant'Elia saa 11:00 jioni.
0 comments:
Post a Comment