Athletic Bilbao 3-1 Sporting (4-3)
Valencia 0-1 Atletico Madrid (2-5)
Valencia 0-1 Atletico Madrid (2-5)
BAADA ya timu zake zote kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, usiku huu ulikuwa wa neema kwa Hispania, baada timu zake zote mbili kutinga fainali ya Europa League. Athletico Bilbao imeingia fainali bbaada ya kuifunga mabao 3-1 kwa Sporting Lisobon ya Ureno, huvyo kufanya ushindi wa jumla wa mabao 4-2, baada ya awali kufungwa 2-1 na Sporting.
Madrid imefuzu kwa ushindi wa jumla wa 5-2, usiku huu ikishinda 1-0 ugenini baada ya awali kushinda nyumbani 4-2.
0 comments:
Post a Comment