BREAKING NEWS: Arsenal yamsajili Podolski
The Gunners wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani kwa muda mrefu na klabu yake sasa imethibitisha atahamia Ligi Kuu ya England mwishoni mwa msimu.
MSHAMBULIAJI wa Koln, Lukas Podolski atajiunga na Arsenal msimu ujao kwa uhamisho ambao haukuwekwa wazi, klabu hiyo ya Ujerumani imesema katika taarifa iliyotufikia bongostaz.blogspot,.com.
Kwa muda mrefu, mshambuliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kutua The Gunners huku kocha Arsene Wenger akielezea wazi wazi uchu wake kwa mpachika mabao huyo wa zamani wa Bayern Munich. TAARIFA ZAIDI INAKUJA.

0 comments:
Post a Comment