// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); XAVI ASEMA WACHEZAJI BARCA WANA HOFU NA GUARDIOLA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE XAVI ASEMA WACHEZAJI BARCA WANA HOFU NA GUARDIOLA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 14, 2012

    XAVI ASEMA WACHEZAJI BARCA WANA HOFU NA GUARDIOLA


    Xavi
    KIUNGO wa Barcelona, Xavi amesema leo kwamba wachezaji wa klabu hiyo wanahofia kocha Pep Guardiola ataamua kutosaini mkataba mpya na mabingwa hao wa Ulaya.
    “Hatuko tayari kukataliwa na Guardiola. Tunatumai atabaki,”alisema nyota huyo wa kimataifa wa Hispania.
    “Guardiola ni kielelezo muhimu katika mfumo wa Barca. Naona yuko vizuri, anafurahia. Anaendelea kuwa mshindani kama ada, lakini uamuzi ni wake. Binafsi, nafikiri atasaini mkataba."
    Sintofahamu inaendelea kuzingira mustakabali wa Guardiola, ambaye atamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu nab ado hajaingia mkataba mpya baada ya kupiga kazi kwa miaka mitatu na nusu Camp Nou.
    Siku moja baada ya kufikisha mabao 50 katika klabu hiyo, nyota wa Barca, Lionel Messi alisema Jumatatu kwamba Guardiola alikuwa muhimu zaidi kwa klabu hiyo ya Catalan zaidui yake (Messi).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: XAVI ASEMA WACHEZAJI BARCA WANA HOFU NA GUARDIOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top