// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI WA NJE WAANZA KUJILETA TARATIIIBU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI WA NJE WAANZA KUJILETA TARATIIIBU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, March 16, 2012

    WACHEZAJI WA NJE WAANZA KUJILETA TARATIIIBU


    SI jambo geni hili!wakati ligi kluu soka Tanzania Bara ikielekewa ukingoni, baadhi ya wachezaji kutoka nchi za nje wameanza kujileta nchini kwa lengo la kuangalia ustaarabu wa upatikanaji wa vilabu vya kuchezea.
    Mmmoja ya wachezaji hao  Kengne Thiery (pichani) anayecheza nafasi ya ushambuliaji amesema kwamba ameta bongo na wenzake kutoka nchgini Cameroon kwa jili ya kuja kuangalia hali ya soka la bongo.
    Nyota huyo pamoja na wenzake Nkamseu Herve Jean ambaye pia n i mshambuliaji na  beki Moussono Charly kutoka Gabon walikuwa wakikipiga katika kjlabu ya Missile FRc iliyokuwa inashiriki ligi kuu soka nchini Cameroon iliyomalizika hivi karibuni na timu hiyo kushika nafasi ya tatu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA NJE WAANZA KUJILETA TARATIIIBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top