// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI MISRI WAANDAMA HADI EFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI MISRI WAANDAMA HADI EFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, March 14, 2012

    WACHEZAJI MISRI WAANDAMA HADI EFA


    Wachezaji wa Misri walioandamana leo
    WACHEZAJI wa Misri, wengi wao wa Daraja la Pili leo wamevamia kwa maandamano makao makuu ya Chaa cha Soka Misri (EFA) mjini Cairo wakipinga ligi za nchini humo kusimamishwa, bongostaz imeinasa hiyo.
    Msemaji wa EFA, Azmy Moghed alifanya kazi ya ziada kuwatuliza wachezaji hao, lakini wengi wao, hasa Mostafa Ibrahim, nyota wa  Al Terasanah waligoma kutulia.
    “EFA imetudharau sisi na mustakabali wetu na sasa wametuweka katika mazingira magumu ".
    “Kama hawaturudisha kazini au angalau kutulipa mishahara yetu itatuumiza na ni hatari sana. Leo tupo 60 tu, lakini wakati mwingine tutakuwa mamia "alisema Moghed.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI MISRI WAANDAMA HADI EFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top