// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TOTO LA YANGA LAIWEKEA KAUZIBE SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TOTO LA YANGA LAIWEKEA KAUZIBE SIMBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, March 11, 2012

    TOTO LA YANGA LAIWEKEA KAUZIBE SIMBA

    Felix Sunzu wa Simba kulia chini ya ulinzi mkali wa beki wa Toto jioni ya leo Taifa
    SIMBA ya Dar es Salaam imelazimishwa sare ya 1-1 na Toto African ya Mwanza kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni hii.
    Kwa matokeo hayo, Simba inarejea kileleni mwa ligi hiyo kwa pointi zake 41, sawa na Azam lakini yenyewe ina bao moja zaidi na iko nyuma kwa mchezo mmoja.
    Yanga, mabingwa watetezi waliofungwa 3-1 na Azam jana wako nafasi ya tatu. Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu, sasa wazi ni wa farasi watatu, Simba, Azam na Yanga- maana yake ligi ya mwaka huu ina msisimko zaidi, kwani timu tatu zinawania nafasi mbili za kucheza michuano ya Afrika mwakani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTO LA YANGA LAIWEKEA KAUZIBE SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top