// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TORRES KUJARIBU UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TORRES KUJARIBU UFARANSA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, March 08, 2012

    TORRES KUJARIBU UFARANSA


    Torres anayesuasua Chelsea, anatakiwa PSG

    RAIS wa Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi amesema kwamba wachezaji kama Gonzalo Higuain wa Real Madrid, Fernando Torres wa Chelsea na Luis Suarez wa Liverpool watakuwa xchaguo sahihi kwa klabu yake.
    Les Parisiens imekuwa ikihusishwa na usajili wa wachezaji kadhaa wenye majina makubwa kwa miezi kadhaa na kocha Mkuu wa klabu hiyo, Carlo Ancelotti amepanga kuboresha safu yake ya ushambuliaji mwishoni mwa msimu.
    Kwa sasa, Paris Saint-Germain inaongoza Ligue 1 ikiwazidi kwa pointi moja Montpellier wanaoshika nafasi ya pili.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TORRES KUJARIBU UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top