TIBAIGANA AWAKABIDHI RASMI MABONDIA YANGA HATI YA KUWAVAA COASTAL KESHO
Kikosi cha Yanga
MWENYEKITI wa Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF), Alfred Tibaigana amesema kwamba kikao cha jana
hakikumalizika na kwa maana hiyo hawajachukua hatua mpya kuhusu wachezaji watano
wa Yanga, wanaokabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu.Akizungumza na bongostaz dakika chache tu zilizopita, Tibaigana
ambaye ni Kamanda Mstaafu wa Kanda Maalum Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini,
alisema kikao cha jana hakikumalizika na watakutana tena Jumanne kumalizia.Kwa mantiki hiyo, wachezaji wa Yanga MABEKI STEFANO MWASIKA ALIYEMPIGA NGUMI REFA ISRAEL NKONGO
ALIFUNGIWA MWAKA MMOJA NA FAINI YA SH MILIONI 1, NADIR HAROUB ‘CANNAVARO’
ALIFUNGIWA MECHI SITA NA FAINI YA SH. 500,000, VIUNGO NURDIN BAKARI ALIFUNGIWA
MECHI TATU NA FAINI SH. 500,000 SAWA NA OMEGA SEME NA MSHAMBULIAJI JERRY TEGETE
wataichezea timu yao katika Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union kesho, Uwanja waMkwakwani, Tanga. KAMATI YA TIBAIGANA ILIWAACHIA HURU WACHEZJI WATANO WA YANGA
WALIOKUWA WAMEFUNGIWA KWA VIPINDI TOFAUTI NA KAMATI YA LIGI YA TFF, BAADA YA
KURIDHIKA NA UTETEZI WA KLABU HIYO JUU YA ADHABU HIZO.AKITANGAZA KUSITISHA ADHABU HIYO, TIBAIGANA ALISEMA KWA
MUJIBU WA TARATIBU ZA TFF, KAMATI YA LIGI HAINA MAMLAKA YA KUMFUNGIA MCHEZAJI
YEYOTE WALA KUTOA ADHABU, ISIPOKUWA KAMATI YA NIDHAMU.KAMATI YA LIGI
ILIYOKUTANA MACHI 12, MWAKA HUU CHINI YA MWENYEKITI WAKE, GEOFFREY NYANGE
‘KABURU’ ILIWAFUNGIA WACHEZAJI HAO WA YANGA KWA TUHUMA ZA UTOVU WA NIDHAMU
WALIOUFANYA KWENYE MECHI YA AZAM FC, MACHI 10, MWAKA HUU, UWANJA WA TAIFA.Mapema jana AKIIZUNGUMZIA
MECHI NA COASTAL UNION, Ofisa Habari wa Yanga, Louis SENDEU ALISEMA MORALI NI
KUBWA NA WANAAMINI WANAKWENDA KUCHUKUA POINTI TATU HUKO.ALISEMA WAMEKWISHAANDALIWA MAZINGIRA YA SEHEMU SALAMA YA
KUFIKIA, KUFANYA MAZOEZI NA HATA KULA, ILI KUHEPA FITINA ZA WAGOSI AMBAO
WAMEPANIA KWELI KUIADHIRI YANGA, KULIPA KISASI CHA 5-1 WALIZOFUNGWA KATIKA
MCHEZO WA KWANZA WA LIGI KUU YA BARA, UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM.Mapema jana KAMATI YA MASHINDANO YA YANGA, LEO IliWAPA
WACHEZAJI WA KLABU HIYO SH. MILIONI 5 WAGAWANE NA KUWAAHIDI SH. MILIONI 5
NYINGINE WAKISHINDA MECHI DHIDI YA COASTAL UNION YA TANGA JUMAMOSI UWANJA WA
MKWAKWANI, TANGA.MCHEZO HUO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZAANIA BARA UNATARAJIWA
KUWA MKALI NA WA KUSISIMUA, KWANI COASTAL INAYOFUNDISHWA NA WACHEZAJI WAWILI WA
KIMATAIFA WA ZAMANI NCHINI, BEKI JAMHURI MUSSA KIHWELO NA JUMA RAMADHAN MGUNDA
IMEPANIA KUSHINDA KUITIBULIA YANGA HARAKATI ZA UBINGWA.KUHUSU HALI YA WACHEZAJI, ALISEMA NI SALUM ABDUL TELELA
PEKEE AMBAYE HATAJUMUISHWA KWENYE MCHEZO HUO KWA SABABU AMEPEWA MAPUMZIKO BAADA
YA KUPONA.“HUO NDIO UTARATIBU WETU KWA SASA, MCHEZAJI AKIPONA ANAPEWA MUDA
ZAIDI WA KUPUMZIKA AWE SAWASAWA, HATA YAE BERKO AMEKAA NJE MUDA MREFU KWA
SABABU ALIPEWA NA SIKU ZA KUPUMZIKA,”
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment