NYASI za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo zinatarajiwa
kuhimili vishindo vya mpambano mkali wa soka kati ya wenyeji, Simba SC na ES
Setif ya Algeria, huo ukiwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa Raundi ya Pili ya
Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Wenyeji, Simba watacheza kwa shinikizo la kushinda mechi hiyo, ili kujiwekea mazingira mazuri katika mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki mbili baadaye kwenye Uwanja wa nyasi bandi uitwao Mei 8, mjini Stif uliofunguliwa mwaka 1972 na kukarabatiwa mwaka 2008, ukiwa na uwezo wa kumeza watu 25,000 tu 2008.
Kocha wa Simba SC, Mserbia Milovan Curkovic ameuzungumzia mchezo huo, akisema anatarajia utakuwa mgumu, lakini watapigania ushindi.
Zaidi Milovan amewataka mabeki wake Juma Nyoso na Kelvin Yondan na Amir Maftah kuwa makini zaidi, kwani wana kazi kubwa ya kuzuia mipira ya juu na kona ambayo imekua ikitumiwa sana na wapinzani wao.
Milovan ambaye katika mazoezi ya juzi alionekana zaidi kuwapa mbinu mabeki hao kwa kuwafundisha jinsi ya kupambana na mipira ya juu pamoja na kona, amewataka kuongeza umakini katika eneo lao.
Katika mazoezi hayo, Milovan aliwatumia Uhuru Suleiman na Salum Machaku kupiga mipira ya kona, ili kuwapa uzoefu mabeki jinsi ya kucheza na kuokoa mipira hiyo.
Katika kushambulia, Mserbia huyo alikuwa akiwapika wapachika mabao wa timu hiyo kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Patrick Mutesa Mafisango na washambuliaji Emanuel Arnold Okwi kutoka Uganda na Felix Mumba Sunzu Jr. wa Zambia.
Milo alikuwa akiwaelekezaa wachezaji hao namna ya kutumia nafasi kwa umakini, ili kuhakikisha hawafanyi makosa kwenye mchezo wa leo.
Katika mchezo wa leo, lango la Simba linatarajiwa kulindwa na ‘Tz One’ Juma Kaseja, kulia hapana shaka atakuwapo Nassor Masoud ‘Chollo’ na kwa sababu Juma Jabu ni majeruhi, pia ua kushoto atakuwa anawajibika Amir Mohamed Maftah na mabeki wa kati watakuwa Juma Said Nyosso na Kelvin Patrick Yondan ‘Cotton Juice’.
Viungo wanaweza kuwa Mafisango atakayekuwa akisaidia ulinzi na mbele yake anaweza kuwapo Shomari Kapombe kama Mwinyi Kazimoto Mwitula bado hajawa tayari, wakati kulia anaweza kuanza Uhuru Suleiman Mwambungu na kushoto anaweza kucheza Emanuel Okwi.
Washambuliaji wanaweza kuanza pamoja na Haruna Moshi Shaaban ‘Boban’ na Felix Sunzu. Mfumo huo, utaiwezesha Simba kuwa kali mno kwenye kushambulia, kwani Okwi na Uhuru watakuwa wakifanya hiyo kwa pamoja na Sunzu na Boban, wakati huo huo wakisaidia kikamilifu katika kiungo.
Milovan anaweza kujikuta kwenye wakati mgumu kimaamuzi, iwapo tu Kazimoto atakuwa fiti, maana yake kama atamuanzisha Kapombe, basi Uhuru ataanzia benchi.
Pamoja na hao, kwenye benchi la wachezaji wa akiba wanaweza kuwapo Ally Mustafa ‘Barthez’, Obadia Mungusa, Victor Costa, Derick Walullya, Gerald Mkude, Ramadhan Singano ‘Messi’, Salum Machaku, Gervias Kago na Uhuru au Kapombe itategemea na hali ya Mwinyi na maamuzi ya Milovan.
Akizungumza kwenye mazoezi ya timu yake Uwanja wa Karume juzi, Alain aliyekuwa akiinoa zaidi safu ya ushyambuliaji namna ya kufunga mabao, alisema wako tayari kuwaduwaza Simba nyumbani.
Alisema hana wasiwasi na mchezo huo, kwa sababu wao wamejiandaa kufika mbali kwenye michuano hiyo mwaka huu.
Tangu wamefika Alhamisi, kocha huyo alikuwa ‘akiwafua’ wachezaji kwenye jua kali Uwanja wa Karume na kuhusu hilo, alisema wameamua kufanya mazoezi kwenye jua kali ili kuendana na hali ya hewa ya Tanzania.
“Tunafanya mazoezi wakati wa jua kali ili tuweze kuzoea baada ya kuona joto linatuchosha sana, hivyo tusipojipanga tunaweza kukosa pumzi siku ya mechi yetu,” alisema.
Setif inakuwa timu ya tatu kihistoria kumenyana na Simba SC, baada ya awali Wekundu hao wa Msimbazi kutolewa na JET katika Klabu Bingwa Afrika, kabla ba wao kuitoa Al harrach katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa ujumla Simba ni mabalozi wazuri wa Tanzania katika michuano ya Afrika na wamekuwa wakifanya vema kila wanapomenyana na timu kutoka Kaskazini mwa Afrika.
Kikosi cha Setif katika mchezo wa leo, kinatarajiwa kuwa; M. Benhamou, A. Hachoud, S. Diss, R. Benchadi, M. Delhoum, F. Belkaid, A. Djabou, R. Ferrahi, Y. Sofiane, M. Benmoussa, na Y. Ghazali.
Katika benchi wanaweza kuwapo wanaweza kuwapo T. Berguiga, S. Bengoreine, A. Lakhdari, H. Aouf, L. Bentaleb, M. Tiouli, K. Valentin, S. Zaâboub, M. Aoudia na K. Gourmi.
REKOFI YA SIMBA NA WAARABU:
LIGI YA MABINGWA AFRIKA:
MWAKA 1974:
NUSU FAINALI:
Simba Vs Mehallal 1-0: 0-1
(Mehalla ilishinda kwa penalti 3-0, ingawa kuna habari za kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) kufanyiwa fujo, wakati wa upigwaji wa penalti.
Simba ilitolewa na JET ya Algeria.
MWAKA 2003:
RAUNDI YA PILI:
Simba (Dsm) Vs Zamalek 1-0
Zamalek (Misri) Vs Simba 1-0
(Simba ilifuzu kwa penaliti 3-2)
MECHI ZA KUNDI A:
Sept. 7/2003: Simba Vs Ismaili 0-0
Sept. 19/2003: Ismaili (Msri) Vs Simba 2-1
RAUNDI YA PILI
Simba SC Vs Al Ahly (Misri) 2-1 0-2
MWAKA 1996
RAUNDI YA PILI
Simba Vs Al Mokaoulun (Misri) 3-1 0-2 3-3 (Al Mokaoulun walifuzu kwa faida ya bao la ugenini)
Ismailia (Misri) Vs Simba SC 2-0, 0-1, 2-1
(Mechi ya marudiano ilichezwa mara mbili, baada ya mechi ya kwanza kuvunjika dakika ya 46, SImba ikiwa inaongoza mabao 2-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam(sasa Uhuru). Ismailia walilalamikia hali ya Uwanja kujaa maji kwamba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku hiyo, hivyo kugoma kucheza katika mazingira yale na mchezo ukasogezwa mbele kwa siku moja na ndipo wenyeji waliposhinda 1-0. Hivyo Simba kwa kufungwa 2-0 awali mjini Cairo, walijikuta wakitolewa kwa matokeo ya jumla ya kufungwa 2-1.
Mchezo wa kwanza ulitawaliwa na vurugu, Polisi walivamia uwanjani kuwatawanya wachezaji wa Ismailia kwa mabomu ya machozi, waliokuwa wakimzonga refa kwa madai mashabiki wa Simba walimpiga na chupa mchezaji mwenzao mmoja, Emad El-Nahhas.
ROBO FAINALI:
Simba Vs USM El Harrach (Algeria) 3-0 0-2 3-2
MWAKA 2010:
RAUNDI YA PILI:
Aprili 25: Simba Vs Haras El Hodoud 2-1
Mei 8: Haras El Hodood Vs Simba SC 5 - 1
Wenyeji, Simba watacheza kwa shinikizo la kushinda mechi hiyo, ili kujiwekea mazingira mazuri katika mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki mbili baadaye kwenye Uwanja wa nyasi bandi uitwao Mei 8, mjini Stif uliofunguliwa mwaka 1972 na kukarabatiwa mwaka 2008, ukiwa na uwezo wa kumeza watu 25,000 tu 2008.
Kocha wa Simba SC, Mserbia Milovan Curkovic ameuzungumzia mchezo huo, akisema anatarajia utakuwa mgumu, lakini watapigania ushindi.
Zaidi Milovan amewataka mabeki wake Juma Nyoso na Kelvin Yondan na Amir Maftah kuwa makini zaidi, kwani wana kazi kubwa ya kuzuia mipira ya juu na kona ambayo imekua ikitumiwa sana na wapinzani wao.
Milovan ambaye katika mazoezi ya juzi alionekana zaidi kuwapa mbinu mabeki hao kwa kuwafundisha jinsi ya kupambana na mipira ya juu pamoja na kona, amewataka kuongeza umakini katika eneo lao.
Katika mazoezi hayo, Milovan aliwatumia Uhuru Suleiman na Salum Machaku kupiga mipira ya kona, ili kuwapa uzoefu mabeki jinsi ya kucheza na kuokoa mipira hiyo.
Katika kushambulia, Mserbia huyo alikuwa akiwapika wapachika mabao wa timu hiyo kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Patrick Mutesa Mafisango na washambuliaji Emanuel Arnold Okwi kutoka Uganda na Felix Mumba Sunzu Jr. wa Zambia.
Milo alikuwa akiwaelekezaa wachezaji hao namna ya kutumia nafasi kwa umakini, ili kuhakikisha hawafanyi makosa kwenye mchezo wa leo.
Katika mchezo wa leo, lango la Simba linatarajiwa kulindwa na ‘Tz One’ Juma Kaseja, kulia hapana shaka atakuwapo Nassor Masoud ‘Chollo’ na kwa sababu Juma Jabu ni majeruhi, pia ua kushoto atakuwa anawajibika Amir Mohamed Maftah na mabeki wa kati watakuwa Juma Said Nyosso na Kelvin Patrick Yondan ‘Cotton Juice’.
Viungo wanaweza kuwa Mafisango atakayekuwa akisaidia ulinzi na mbele yake anaweza kuwapo Shomari Kapombe kama Mwinyi Kazimoto Mwitula bado hajawa tayari, wakati kulia anaweza kuanza Uhuru Suleiman Mwambungu na kushoto anaweza kucheza Emanuel Okwi.
Washambuliaji wanaweza kuanza pamoja na Haruna Moshi Shaaban ‘Boban’ na Felix Sunzu. Mfumo huo, utaiwezesha Simba kuwa kali mno kwenye kushambulia, kwani Okwi na Uhuru watakuwa wakifanya hiyo kwa pamoja na Sunzu na Boban, wakati huo huo wakisaidia kikamilifu katika kiungo.
Milovan anaweza kujikuta kwenye wakati mgumu kimaamuzi, iwapo tu Kazimoto atakuwa fiti, maana yake kama atamuanzisha Kapombe, basi Uhuru ataanzia benchi.
Pamoja na hao, kwenye benchi la wachezaji wa akiba wanaweza kuwapo Ally Mustafa ‘Barthez’, Obadia Mungusa, Victor Costa, Derick Walullya, Gerald Mkude, Ramadhan Singano ‘Messi’, Salum Machaku, Gervias Kago na Uhuru au Kapombe itategemea na hali ya Mwinyi na maamuzi ya Milovan.
ES SETIF:
Kwa upande wa Setif, kocha wao, Geiger Alain ameonekana
mwenye kujiamini sambamba na wachezaji wake kuelekea mchezo wa leo.Akizungumza kwenye mazoezi ya timu yake Uwanja wa Karume juzi, Alain aliyekuwa akiinoa zaidi safu ya ushyambuliaji namna ya kufunga mabao, alisema wako tayari kuwaduwaza Simba nyumbani.
Alisema hana wasiwasi na mchezo huo, kwa sababu wao wamejiandaa kufika mbali kwenye michuano hiyo mwaka huu.
Tangu wamefika Alhamisi, kocha huyo alikuwa ‘akiwafua’ wachezaji kwenye jua kali Uwanja wa Karume na kuhusu hilo, alisema wameamua kufanya mazoezi kwenye jua kali ili kuendana na hali ya hewa ya Tanzania.
“Tunafanya mazoezi wakati wa jua kali ili tuweze kuzoea baada ya kuona joto linatuchosha sana, hivyo tusipojipanga tunaweza kukosa pumzi siku ya mechi yetu,” alisema.
Setif inakuwa timu ya tatu kihistoria kumenyana na Simba SC, baada ya awali Wekundu hao wa Msimbazi kutolewa na JET katika Klabu Bingwa Afrika, kabla ba wao kuitoa Al harrach katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa ujumla Simba ni mabalozi wazuri wa Tanzania katika michuano ya Afrika na wamekuwa wakifanya vema kila wanapomenyana na timu kutoka Kaskazini mwa Afrika.
Kikosi cha Setif katika mchezo wa leo, kinatarajiwa kuwa; M. Benhamou, A. Hachoud, S. Diss, R. Benchadi, M. Delhoum, F. Belkaid, A. Djabou, R. Ferrahi, Y. Sofiane, M. Benmoussa, na Y. Ghazali.
Katika benchi wanaweza kuwapo wanaweza kuwapo T. Berguiga, S. Bengoreine, A. Lakhdari, H. Aouf, L. Bentaleb, M. Tiouli, K. Valentin, S. Zaâboub, M. Aoudia na K. Gourmi.
REKOFI YA SIMBA NA WAARABU:
LIGI YA MABINGWA AFRIKA:
MWAKA 1974:
NUSU FAINALI:
Simba Vs Mehallal 1-0: 0-1
(Mehalla ilishinda kwa penalti 3-0, ingawa kuna habari za kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) kufanyiwa fujo, wakati wa upigwaji wa penalti.
MWAKA 1981:
RAUNDI YA PILI:Simba ilitolewa na JET ya Algeria.
MWAKA 2003:
RAUNDI YA PILI:
Simba (Dsm) Vs Zamalek 1-0
Zamalek (Misri) Vs Simba 1-0
(Simba ilifuzu kwa penaliti 3-2)
MECHI ZA KUNDI A:
Sept. 7/2003: Simba Vs Ismaili 0-0
Sept. 19/2003: Ismaili (Msri) Vs Simba 2-1
KOMBE LA WASHINDI
MWAKA 1985RAUNDI YA PILI
Simba SC Vs Al Ahly (Misri) 2-1 0-2
MWAKA 1996
RAUNDI YA PILI
Simba Vs Al Mokaoulun (Misri) 3-1 0-2 3-3 (Al Mokaoulun walifuzu kwa faida ya bao la ugenini)
MWAKA 2001
RAUNDI YA PILIIsmailia (Misri) Vs Simba SC 2-0, 0-1, 2-1
(Mechi ya marudiano ilichezwa mara mbili, baada ya mechi ya kwanza kuvunjika dakika ya 46, SImba ikiwa inaongoza mabao 2-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam(sasa Uhuru). Ismailia walilalamikia hali ya Uwanja kujaa maji kwamba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku hiyo, hivyo kugoma kucheza katika mazingira yale na mchezo ukasogezwa mbele kwa siku moja na ndipo wenyeji waliposhinda 1-0. Hivyo Simba kwa kufungwa 2-0 awali mjini Cairo, walijikuta wakitolewa kwa matokeo ya jumla ya kufungwa 2-1.
Mchezo wa kwanza ulitawaliwa na vurugu, Polisi walivamia uwanjani kuwatawanya wachezaji wa Ismailia kwa mabomu ya machozi, waliokuwa wakimzonga refa kwa madai mashabiki wa Simba walimpiga na chupa mchezaji mwenzao mmoja, Emad El-Nahhas.
KOMBE LA CAF/SHIRIKISHO:
MWAKA 1993ROBO FAINALI:
Simba Vs USM El Harrach (Algeria) 3-0 0-2 3-2
MWAKA 2010:
RAUNDI YA PILI:
Aprili 25: Simba Vs Haras El Hodoud 2-1
Mei 8: Haras El Hodood Vs Simba SC 5 - 1
0 comments:
Post a Comment